Monday, May 28, 2012

DIAMOND ALIPOPELEKA MAWAZO NDANI YA BIG BROTHER AFRICA

Kiukweli hata hitaji sifa Diamond maana hapa alikwenda kuiwakilisha vyema bendera ya nchi yetu ndani ya Afrika ya kusini.Hongera kwako jembe ongera bidii usilewe sifa.