Monday, October 1, 2012

HAYA WADAU WAENDAO NA WAKATI IPHONE 5 KITAANI VUNJA KIBUBU
Kwa upande wangu Kc hali si shwari nimeona nilete usawa nitupie kitu cha apple nyuma ya simu yangu , kwani nini muhimu si alama ya apple limemegwa?