Tuesday, October 16, 2012

JOKATE AJA NA LEBO YA KIDOTI AINGIA KWENYE SOKO LA NYWELE KWA AKINA DADA


 Hapa akionyesha bidhaa za nywele zenye lebo ya Kidoti,inapendeza kwa kweli kuona ubunifu kama huu unafanywa  na wadada wetu wa Kitanzania.
 Hii ni team nzima ya warembo ndani ya lebo ya Kidoti
Picha ya pamoja wote wakiwa na nywele za Kidoti