Wednesday, October 3, 2012

KC KUONEKANA KWENYE FILAMU ZA KIBONGO?

 Hapa wanyama unyamani,nikiwa na Hisani Muya a.k.a Tino baada ya kupoteana kwa muda mrefu kutokana na mbio za kutafuta madini sasa tumekutana tena.Huyu mwanangu kitambo toka kufuga njiwa mpaka sasa kila mtu na maisha yake.
 Kiukweli tulizungumza mengi sana siku hii mapaka ikafikia hatua yakunikumbusha wakati ule kishule shule tunapiga ngoma na kuigiza.Pia alinishauri nimpe nafasi akifumue kipaji changu kile cha shule.Ebana nilimruka mita mia nikamwambia mwanangu mimi sitaki kutokea kwenye magazeti kaka niache nirudi stockholm nikapike big mac.
Hapa nilipenda maandishi ya t.shirt yake yaliandika