Sunday, May 22, 2011

HII ILIKUA DANGANYA TOTO KOMBE,KULA KUNDE MBICHI YENYEWE WATALIBEBA LEO.

Kikosi kizima cha Mashetani wekundu wakiwa na mfano wa kombe la league ya england ambalo walikua wamejiakikishia kulipata siku hiyo ya jumamosi walipocheza na Blackburn juma lililopita.Na leo ndio watakabidhiwa rasmi ktk uwanja wao wa nyumbani Old Trafford baada ya menchi kuisha.Leo wanacheza na Blackpool.