Saturday, May 21, 2011

NYUMBANI NI NYUMBANI

Ule usemi wa waswahili usikimbie nyumbani kisa kubaya ndio huu,hapa ni kituo cha dalala temeke tandika daladala zakwenda yombo buza.Hapa ni karibu kabisa na maeneo ya mitaa yangu yaani natembea kwa mguu nimefika.Picha kwa hisani ya temekepamoja.blogspot.com