Saturday, May 21, 2011

HII NDIO TEAM NZIMA YA KILIMANJARO FC NA WASHABIKI WAKE WAISHIO SWEDEN.






























Nakumbuka mwaka jana ktk league yetu ya waafrica wanaoishi stockholm watanzania walifanya vizuri sana na kuchukua ubingwa,  hiyo ilitokana na umoja kati ya wachezaji na washabiki ambao watanzania na wale wasio watanzania.Kiukweli inapendeza sana kipi kama hiki cha jua huku sweden kukutana kwa style kama hii na nyingine,hii inaleta upendo mshikamano na hata kufahamiana baada ya kipindi kirefu cha baridi.Ebu tujikumbushe kwa kutazama picha hizi kiukweli tunawachezaji wazuri.Na kwa kukumbushana tu kwa habari niliopewa na kocha wa kilimanjaro fc RASHIDI a.k.a DECO DE SUZA na capten wa team JAMIL kwamba mazoezi yameshaanza ili kujiandaa na mashindano ya msimu huu.Ubingwa kwetu kawaida ila tusibweteke tujitokeze mazoezini pale rinkeby.