Saturday, May 21, 2011

KWA HALI HII MARADHI YATOKANAYO NA UCHAFU YATAISHAJE?

Ndugu zangu wapendwa tujiulize wote kwa pamoja kwa hali kama hii tutapona kweli na kipindupindu na magonjwa mengine yatokanayo na uchafu?