Sunday, May 22, 2011

LEO MCHANA KATIKA JIJI LA STOCKHOLM-SWEDEN

Katikati ya jiji la stockholm leo mchana watu wakipiga misele ya hapa na pele alimladi kila mtu anaenjoy jua kwa style yake maana leo lemewaka kweli kweli.