Thursday, June 23, 2011

AKINA DADA MPOOOOOOOOO NA KOPE BANDIA KWAMBA NI HATARI?

 Tabia ya baadhi ya wanawake kupenda kubandika kope za bandia kama sehemu ya urembo ni hatari na watumiaji wako katika mazingira hatarishi ya kuukwaa upofu.Kwa mujibu wa maelezo ya kidaktari utumiaji wa kope hizo za bandia zina madhara makubwa kwa binadam






Swali langu ni kweli zinamadhara?maana hazijaazwa leo kutumika hizi hata mastaa wakubwa duniani utumia au za kwetu Tanzania sitakua zakichina?maana hawa wachina siku hizi kila kitu wanachakachua mpaka dawa za magonjwa wanafyatua.Kueni makini akina dada.Kwa hisani ya global publisher