Monday, June 6, 2011

BAADA YA MIANGAIKO YA WEEK NZIMA TUKIPATA NAFASI TUNAKUTANA NA KUBADILISHANA MAWAZO

 Kama kawaida tulikutana kijiwe chetu kasoro kahawa kubadilishana mawazo kidogo, kwani waswahili wanasema kazi na dawa.
 Kumbe jua linaleta furaha sana.Kulia ni Mjerumani,Mweneu,Eddy na Mimi K.Karama.
 Nliona nipate picha ya kumbukumbu na ndugu yangu Eddy kwani ni jirani yangu na rafiki yangu wa karibu kuanzia hapa mpaka tmk. Mwenzetu mpita njia tu akaona ajumuike na sisi kijiweni kabla ya kurudi zake Bongo.Ebwana ukifika kitaani  wasalimie ndugu na jamaa.
 Nikipata picha na Tamim huyu jamaa bondia mzuri anaefanya shughuli zake za ubondia hapa sweden.
Nilikutana na ndugu yangu  wa ngamiani juu Toshi akiwa mwenye furaha ya jua la week end hata suti imevalika na ikatulia.