Monday, June 6, 2011

BONGO KILA SIKU SIKUKUU,BURUDANI KILA KUKICHA ILA TUSISAHAU KAZI ASUBUHI.

 Dada Jay Dee akishow love na mashabiki wake waliofika kujumuika na machozi band pale nyumbani lounge.
 Warembo wakijiachia.
 Makaka nao hawakua nyuma na white zao.
 Mduara kama kawa.

Dada naona anatelemsha kilaji mpaka kasahau kama vitu vya siri watu wanaona bila kulipia.
Picha kwa hisani ya jay dee.