Saturday, June 4, 2011

KWA MSULULU HUU DADA HAUNA VIRUSI ONGERA SANA ILA KUA MAKINI





Mcheza filamu ‘hot cake’ Bongo, Wema Abraham Sepetu, hivi karibuni amewafurahisha mashabiki wake baada ya kueleza kuwa, amepima Virusi vya Ukimwi (VVU) mara tu aliporejea kutoka Marekani na kubaini kuwa, eti hana virusi.
picha na habari kwa hisani ya global publisherstz.