Tuesday, June 21, 2011

ONGERA SHEKH KHALID KWA KUCHUKUA JIKO



















 Kwa mtazamo wangu hawa watoto wawili walifunika kwa style yao ya kunyoa.


SHUKRANI.Shekh Khalid anawashukuru wote mlioudhulia shughuli yake hiyo.Kwani kuna walioacha kila kitu chao kwa kuitikia wito anasema hana malipo yakuwalipa zaidi ya kuwaombea dua kwa mungu amen.