Thursday, June 23, 2011

MAZINGIRA MAZURI NDANI YA ZANZIBAR

 Dala dala za Zanzibar.





 Embe za ukweli hapo hakuna kuzifukia chini au kuziwashia taa.






 Hii mikate kwa supu sikwambii.

 Petrol station


 Kila mwenye mawazo kayasahau ni burudani tu
 Warembo wakiwa wamejiachia ndani ya ngome kongwe.
Burudani ndani ya ngome kongwe.Picha kwa hisani ya othman michuzi