Friday, June 24, 2011

IJUMAA KAREEM.BAADA YA KUTOKA MSIKITINI



 Na mimi nikajaribu kutoa dawa kidogo kwa ndugu zangu.
 Kama kawaida Shekh Mweneu na Said walitupa dawa baada ya sala pembeni ya msikiti mkuu hapa stockholm.
 Hawa ndio walikua wadhamini wakuu wa hili pambano hapa kwa mama ntilie.
Baada ya sala ya ijumaa tukaona tupitie mama ntilie ya hapa stockholm tupate kulistili tumbo na ndugu zangu.