Saturday, June 4, 2011

JUMAMOSI NZURI NILIPOKUTANA NA NDUGU ZANGU KATIKA MATEMBEZI

 Hapa nikitoka kwa fundi mgosi wa stockholm kuweka sawa ndala yangu moja ilikatika kidogo:)
 Hahahaha huyu jamaa hakuna asiemjua hapa stockholm na kama humjui ujapitia globen.Kaka yetu Rashid a.k.a Deco tulikutana na kuzungumza mengi na kukumbushana mengi ya enzi za mwalimu tulienjoy siku yetu.
 Naona mjomba a.k.a mtupia nyavu akiwa na Capten JJ wakiota jua maeneo ya katikati ya jiji.

Hapa niligongana na Dady Osama na mtupia nyavu wetu na ndugu wengine kiukweli jamaa walifanya siku yangu kua sawa sababu ni watu wangu muhimu na sijakutana nao muda mwingi na hii inatokana na kila mtu kuwa mbio na harakati zake.