Thursday, June 2, 2011

DADA ZANGU KUENI MAKINI NA DAWA ZA KICHINA HII SI KARAHA SASA!!

Dada zangu naskia sasa hivi kumeingia dawa za kichina za kuongeza makalio,si mbaya kama unamadogo ukaongeza yakawa yenye mvuto.Sasa inakuaje yakawa kama hivi alafu unapika mt.kongo si utabonyezwa njia nzima na wamachinga?Waogopeni hawa wachina na dawa zao dada zangu.