Thursday, June 2, 2011

SERIKALI ZA AFRIKA UKITAKA UBAYA NAYO DAI HAKI YAKO

 Miongoni mwa wapinzani wa vyama pinzani waliokua wanapinga matokeo ya uchaguzi wa uraisi uganda walikutana na kichapo cha wale jamaa wa fanya fujo uone wa uganda.
 Jamaa mabomu ya machozi yamemuingia kisawa sawa kiasi kwamba akawa anaangusha kilio tu kama unavyomuona.


 Wamelazwa kama dagaa jamani huu ndio utaratibu gani utazani si nchini kwao.

Poleni sana ndugu zangu ila ukweli unabaki pale pale ukiona mateso yanazidi ujue ukombozi unakaribia.