Thursday, June 2, 2011

JUA LIKIWAKA VIZURI STOCKHOLM RAHA SANA SASA NGOJA BARIDI IFIKE

 Kijua kimewaka basi watu furaha tupu katikati ya jiji.
 Jua lilizidi nikaona ninunue japo ice cream kupoza koo kidogo.
 Nikakutana na ndugu zangu wakibadilishana mawazo hapa mitaa ya Kungstradgarden nikaona nipate picha yao kwa kumbukumbu, si unajua  kikirudi kile kipindi chakuvaa nguo nyingi adimu kukutana kama hivi.

Nilifurahi sana nilipokutana na ndugu yangu wa muda mwingi mtu mzima Baraka a.k.a Ndiefi hapa alikua na nguli wa jiji Chengula wakibadilishana mawazo hapa na pale na furaha kidogo safi sana inapendeza.