Wednesday, June 15, 2011

MSANII BAMBO APATA AJALI

Msanii na Muigizaji Maarufu wa Maigizo nchini Tanzania na Mmoja wanaounda kundi la Ze Komedi toka EATV,Dickson Makwaya aka Bambo, amepata ajali jana usiku pande za Kigogo Round About akiwa kwenye pikipiki aka bodaboda wakati anakwenda home kwake Kigogo-Darajani na waligongwa na daladala aina ya coaster na amevunjika mfupa wa paja na kupata majeraha kichwani na mkononi ila dereva hali yake taabani kidogo na kwa sasa Bambo yuko MOI akisubiri kufanyiwa upasuaj