Wednesday, June 8, 2011

MWANVITA BIRTHDAY PARTY YAKE ILIFUNIKA MBAYA


 Warembo wakijishebedua kidogo na burudani inapendeza na wamependeza pia.
 Vinywaji vilikua vyakusaza



 Na muona mwanamitindo wakimataifa Flavian Matata nae alikua ndani ya sherehe hiyo.