Thursday, September 22, 2011

AZAM FOOTBALL CLUB SASA YAMILIKI UWANJA WAKE WENYEWE VIPI TEAM KUBWA ZA SIMBA NA YANGA.

        Uwanja wa Azam fc unavyoonekana kwa nje,ila hii style yake ya ya ubao wa matangazo sijaipenda.
                                    Safi sana Azam fc kwa kuonyesha mfano
                                     Upande wa majukwaa



                                  Peach nzuri kwa kweli uwanja unavutia kwa ujumla.
Team ya azam fc imekua team ya kwanza nchini Tanzania kumiliki uwanja wake wenyewe na hii ni team ambayo imeanzishwa hivi karibuni na wameshafikia hatua hii.Vipi team zingine kama Simba na Yanga ambao wao ni magwiji ya mpira nchini Tanzania hamfanyi kitu kama hiki?Safi sana Azam fc.Picha kwa hisani ya temekepamoja.