Thursday, September 29, 2011

DJURGÅRDEN IF U21 WAMSAJILI MTANZANIA ADAM KASA

 Hapa Adam Kasa akisign mkataba wake wa kuichezea djurgården if u21
 Sura ya furaha kwa Adam kasa kwa kusign mkataba wa kuichezea djurgården u21
                                                           Hapa akiwa mazoezini
Team ya Djurgården if ya stockholm sweden imemsajili Mtanzania Adam kasa,kiukweli ni muda wa kujivunia juu ya hili kwa sisi watanzania kwa kuona bendera yetu inapeperushwa vyema nje ya Tanzania,kwani  naimani huu ni mwanzo mzuri kwa Adam Kasa.Na nilijaribu kuwasiliana na baba  wa Adam ambae ni Naaman aliniakikishia juu ya hili na nikaomba kukutana na Adam mwenyewe ili nipate mawili matatu kutoka kwake juu ya mwenendo mzima wa maisha yake ya soka kwa ujumla.Nawahaidi wadau kuwaletea taarifa zaidi hivi karibuni nitapokutana na Adam mwenyewe.Kwa habari zaidi za adam kasa juu ya usajili wake unaweza kuingia www.dif.se