Sunday, September 11, 2011

SALHA ISLAEL ACHUKUA TAJI LA MREMBO WA TANZANIA 2011 NA KUCHUKUA GARI YA 72 MILIONI NA FEDHA MILIONI 8

 Mshindi wa kwanza mpaka watatu wakiwa katika pozi la pamoja baada ya kutangazwa kuwa wao ndio warembo bora Tanzania 2011
 Mshindi wa kwanza wa shindano la kumtafuta mrembo bora wa mwaka 2011 nchini Tanzania Salha Islael akionyesha funguo za gari lake baada ya kukabidhiwa.
                                 
                                   Warembo waliowania taji la mrembo bora tz 2011