Thursday, September 1, 2011

SIKUKUU YA EID WATU WALIVYOJIACHIA COCO BEACH

                                                     Mashabiki wakipagawa na burudani
                                  Hakuna alietaka kubaki nyumbani siku ya jana

                                  Ufukwe ulikua mdogo jana kwa wingi wa watu
Watoto wa kiumeni kama kawaida walikuwepo wakiongozwa na sir juma nature katika kuwaburudisha katika sikukuu ya eid jana.
Kwa hisani ya mateja20.