Sunday, September 11, 2011

SALAAM ZA POLE KWA WALIOPATWA NA MSIBA KTK AJALI YA MELI ZANZIBAR

Kwa majonzi makubwa naungana na watanzania wenzangu waishio sweden na duniani kote kwa ujumla kuomboleza msiba wa taifa uliotokana na kuzama kwa meli na kuua mamia ya watu.

Tumepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa hii ya ajali ya kuzama kwa meli tukiwa kama watanzania kwa ujumla,kwa ujumla tunawapa pole familia zote ziliopatwa na misiba huu mungu awape wepesi kutokana na maafa haya na pia mungu awaponyeshe majeruhi wote amen.

EWE MWENYEZI MUNGU SISI WAJA WAKO TUNANYANYUA MIKONO YETU KWA MAJONZI KABISA KUKUOMBA UWAANDALIE MAPUMZIKO MEMA MAREHEM WETU WOTE KWA HURUMA YAKO AMEN.