Monday, September 12, 2011

BABA WA LIL WAYNE KATOKA KATIKA BUGATTI SASA YUPO HUMU KTK MAYBACH 62S 2011

Huyu jamaa katika watu ninaowakubali sana na huwa ananimaliza kwa utumiaji wake wa pesa hapendi kujinyima.