Wednesday, September 28, 2011

UNAPOKOSA MTU WA KUKUPIGA PICHA MAMBO HUA HIVI

 Kiukweli kila mtu anapokwenda sehem ambayo ajawahi kwenda kitu cha kwanza ambacho hufikilia kupiga picha za kumbukumbu,sasa kazi inakua pale unapokosa mtu wa kukupika mambo hua kama hvi ni kunyoosha mkono tu.
 Ila hii kidogo niliongeza ushamba maana ilibidi nikajipige katika kioo cha chooni,dah kweli ushamba si tu kusema computer video.

Hapa ndio nikamsimamisha mtu na kumuomba anipige japo nilimfahamisha kibubu bubu lugha ya hapa nilipokwenda sipandishi wadau.