Wednesday, September 28, 2011

MACHUPA AITWA TENA TAIFA STARS KUIKABILI MOROCCO

Athuman Rajabu(Machupa)anaechezea Vasalunds if ya nchini sweden ameitwa tena katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania(taifa stars)ambapo ataungana na wachezaji wenzake kambini tayari kabisa kujiandaa na safari ya Morocco kuwakabili warabu hao.