Wednesday, September 7, 2011

HUU MTAA KAMA UNGEKUA BONGO TUNGETAFUTANA.

Kama unavyoona mdau huo mtaa jina lake ni mtaa ambao upo huko congo mi nadhani ungekuwepo bongo mjadala ungekuwa mkubwa.Picha kwa hisani ya mjengwa.