Thursday, September 22, 2011

MWANAUME AOTA MAZIWA KWA KUMEZA DAWA ZA UKIMWI

Mwanaume huyu Mtanzania mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi amejikuta maziwa yake yakikua siku hadi siku na kufikia kama ya mwanamke na hii imetokana na kumeza dawa za kinga zidi ya virusi vya.Amesema amejikuta maziwa yake yakiongezeka siku hadi siku na mwanzo hakujua nini tatizo baadae alipokwenda ktk utafiti zaidi ndio akagundua hizo dawa zinamfanya kuongezeka kwa matiti yake.