Thursday, September 1, 2011

SHEREHE ZA EID NDANI YA JIJI LA STOCKHOLM


TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUMALIZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI SALAMA.
SASA NI WAKATI WA KUSHEREHEKEA EID PAMOJA.JUMAMOSI TAREHE 3.9.2011 SAA TISA MCHANA
(15.00 HRS) T-ALVIK(ALVIK MEDBORGAHUS)-GUSTAVSLUNSVÄGN 168 A 2TR,UKUMBI ;NOCKEBYSALEN.TAFADHALI WATAARIFU NA WENGINE.