Monday, September 12, 2011

BOMBA LA MAFUTA LALIPUKA NCHINI KENYA NA KUUA WATU KARIBU 120

 Waokoaji wakijaribu kuuzima moto uliotokana na kupasuka kwa bomba la mafuta na kuua watu zaidi ya 120 nchini kenya.
Uzimaji wa moto ukiendelea.Poleni sana ndugu zetu wa Kenya kwa Maafa yaliowakuta mungu awape subra ktk kipindi hiki kigumu ame.