Thursday, July 21, 2011

ALLY KIBA WA BAADAE NDIO HUYU

Hahahahaha nilicheka sana baada ya kumfumania huyu mtoto kashika mic na kuanza kuimba vitu anavyojua mwenyewe hata mimi sikua namuelewa anaimba nini.Swali amejuaje kama hii ni mic na ndio watu wanaimbia?