Saturday, July 23, 2011

FC KILIMANJARO YATOA KIPIGO KWA WATOTO WA KIBAKI NA KUBEBA KOMBE

 Kikosi kamili cha kilimanjaro fc kilichopeleka kilio Nairobi kenya.


 kikosi kikiwa mapumziko wakipata mbinu za ziada





 Mashabiki wa Kilimanjaro walijumuika kwa wingi sana kuipa molali team yao safi sana umoja ni nguvu



 Wakijiweka tayari
 Meneja Nyupi pembeni Freddy nice wakiteta jambo na muhusika wa mashindano hayo
 Watoto wa kibaki wakipasha misuli moto kujiandaa na kipigo
 Nawasifu wachezaji wa kilimanjaro wananidhamu sana,tazama hapa wametulia wanasikiliza maelekezo.

 Kamati ya ufundi leo ilishindwa na Capten Jamil ambaye akutumika leo kwa kua mgonjwa.Wachezaji wote aliwanawisha maji haya kama alivyopewa maagizo na matunda yameonekana safi sana.

 Mashabiki wa Kenya
 Kikosi kamili cha Kenya
 Mashabiki wakionyesha sura ya furaha kuashilia ushindi.
 Wapendao nao walikuwepo kushangilia team yao
 Baba Nayla
 Jembe Mgaya



 Furaha ya ushindi

 Kilimanjaro oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 Ushindi mtamu mpaka Nayla nae akaona alishike kombe
 Kiduku kilikuwepo kushangilia ushindi
 Kocha mchezaji Machupa akinyanyua kombe juu yeye ndio alioleta furaha ndani ya Kilimanjaro fc kweli ukubwa dawa.
 Majembeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 Furaha ilitawala uwanja mzima si wanawake wala wanaume
 Khamis Abui na Familia yake wakishangilia ushindi safi sana sio wafanye akina Rooney tu.
 Mfungaji Machupa na Messi


 Kaka Liban nae alishow love na kombe

 Chedazzz na mwanae kama kawa walishow love na kombe.


Madada wakiwa wananyuso za furaha huku wakikamata kombe.