Friday, July 1, 2011

GLOBAL COMMUNIT CUP KILIMANJARO KUWA NA TEAM MBILI

global communit cup inaanza  itachezwa siku 2 tar 16 na 17 j.mosi na j2 viwanja vya husby. mwaka huu tutashirikisha timu 2 kutokana na wingi wa wachezaji ni vema wote tucheze- kutakuwa na FC KILIMANJARO ACADEMY NA FC KILIMANJARO VETERAN. yafutayo ni majina ya wachezaji wa timu hizo.                                                   FC KILIMANJARO-ACADEMY itaundwa na manager wao NYUPI.--1. kablau. 2. shekhan. 3.yusuph. 4 beka. 5. machupa. 6 dadi. 7.mkangwa. 8 willy. 9 kaniki. 10 messi.11 abdull.            FC KILIMANJARO-VETERAN itaundwa na manager wao YUNUS KIM--1 adrey. 2. kessy. 3.fady . 4 eddy. 5. kombo. 6. jameel. 7. hamflay cheda. 8. evance. 9. mwinyi ally. 10 six 11. sameed. 12 beka. 13 kibabu. 14 salim. 15 haji. 16. jj. 17. abui. 18. ustadh man iniesta. 19 heri.20-mgirki na mchua misuli wao kifafa. MAZOEZI MUHIMU HABARI KAMILI MTAJULISHWA KUPITIA HUMU-ahsanteni
Kwa hisani ya Capten JJ