Tuesday, July 5, 2011

DIMOND NA WEMA WAPAGAWISHA MORO


 Dimond akimuimbia mpenzi wake wema kwa hisia

Hapa akaona haitoshi akaamua kuwapagawisha mashabiki kwa kuonyesha makalio yake jukwaa likalipuka kwa mayowe.