Tuesday, July 12, 2011

IPI KATI YA HIZI IMEKUFURAHISHA MDAU

 Je ungependa harusi yako iwe kama hivi?
 Mbaya wewe unayoooooooooo?
 Mwizi anapomgeuza polisi kuwa best friend wake baada ya kucholopoka katika mikono ya wananchi wenye hasira.
Sijui kama mpunga waliuwahi kwa style hii