Saturday, July 9, 2011

FC KILIMANJARO YAANZA NA USHINDI MNONO ZIDI YA KENYA KWA GOLI 8-1




 Mmoja wa makocha wetu leo ni Machupa
 Wachezaji wakibadili
 Wakifanya wameup kidogo kabla yakuanza mtanange

 Mtoto wa nyoka ni nyoka
 Meneja Nyupi,Machupa na Hamfrey wakionyesha uzalendo kwa kupeperusha bendera yetu.

 Muasisi wa Kilimanjaro Fc KC akishow love na bendera ya taifa letu
 Mama na mwana wakaona waje kumtazama baba akitumika uwanjani
 Mashabiki wa Kilimanjaro fc


 Kikosi kamili cha Kilimanjaro Fc

 Kikosi cha Kenya kikipasha misuli kabla ya mechi




 Kosa kosa langoni mwa Kenya
 Wakishanglia ushindi


 Ahmed osama akiruka juu kupiga mpira wa kichwa.
 Mapumziko mwalimu wa viungo akiweka sawa misuli mchezaji wake
 Capten William John a.k.a Mac Dida

 Mawaidha kidogo
 Messi Dona huyu kijana leo kafanya kazi sana anastahili sifa.

 Mwalimu namba mbili Evans akitoa maelekezo.

 Jembeeeeeeeeeee
 Mkongwe Jamil umetusaidia sana

 Ubavu wangu wa kushoto

 Wakishangilia bao
 Ushindi kweli mtamu
 Penati bora kabisa ilipigwa na Hamis Abui au baba Nayla nakutinga wavuni


 Kc akiwa na kaka saidi baada ya mechi



Safi sana kwa ushindi mnene leo,ila kama capten alivyosisitiza kesho kuwahi tunacheza mechi nyingine sa 6 mchana.