Monday, July 25, 2011

HIVI HUYU BALOTELLI ATABADILIKA LINI?

Kwa mtazamo wa watu wote walijua anapotolewa anaweza kuwa mpole kwa alichokifanya lakini wapi bado akaleta ubabe kwa mwalimu wake jamaa hana nidhamu.