Wednesday, July 6, 2011

ENZI ZA MWALIMU NDANI YA STOCKHOLM

 Jamani mwenye kumbukumbu ya hii mechi ilikua wapi nani?kama sijakosea hii siku tulicheza na wabaya wetu wakutupiga faini tiket(SL)na ndio siku Kiongozi Zam akasema kwanini tusianzishe team tuite kilimanjaro na mambo mengine tukafanya?Na kweli tumefanikiwa mpaka sasa hapa tulipo
 Capten wetu wa kipindi hicho enzi za mwalimu Jamil akimpasia Abuu Canavaro wa kipindi hicho si sasa hivi hata danadana  kasahau.
Kipindi kigumu sana hiki nikiwa na ndugu zangu dam moja.
Nawaombeni wadau tujaribu kuichangamsha blog kwa pamoja kama kuna yeyote anapicha zake za enzi ya mwalimu yaani kipindi cha miaka ya nyuma sana na hasa wakati tupo tz au hata hapa ulaya,lakini kama za ulaya ziwe week moja toka umetoka bongo nitumieni kwa email kessbr@gmail.com nitaziweka hapa bloguni tucheke kwa pamoja.Nitaanza mimi kwa kuweka zangu jumatatu Inshallah ili msiseme mbona nimeweka za watu tu mimi mwenyewe sitaki kuchekwa.