Saturday, July 16, 2011

KILIMANJARO FC NA VETERANI YAINGIA NUSU FAINAL KTK MASHINDANO YA WAAFRIKA WANAOISHI SWEDEN

 Kikosi cha Kilimanjaro Fc kikiwa tayari kwa kuanza mtanange
 Kiongozi wa Kilimanjaro Fc kaka Abraham alikuwepo kuakikisha vijana wake wanafanya vizuri
 Haya majembe ya Kilimanjaro Fc walioipeleka nusu fainal
 Team ya Libya ambayo nao wameingia nusu fainal watacheza na Kilimanjaro Veterani jumapili

 Bendera ikipepea

 Capten msaidizi wa Kilimanjaro Veterani JJ

 Evance wa Kilimanjaro Veterani akiwaacha  mabeki
 Kilimanjaro Veterani wakitoka uwanjani baada ya kukamilisha kazi iliowapeleka kiwanjani hapo.


 Kipa wa akiba wa Kilimanjaro Veterani
 Kipa namba moja wa Kilimanjaro  Veterani



 Mmasai nae alikuwepo katika kuakikisha Maveterani wanafanya vyema
 Baada ya mechi watu walisalimiana kidogo baada ya kutoonana baada ya muda mwingi si unajua mambo ya kazi na pilika.

 Benchi la Kilimanjaro
 Madada wa Kilimanjaro Fc
 Kocha mchezaji wa Kilimanjaro Veterani Machupa akitoa maelekezo
 Naona hapa kocha wa Kilimanjaro Veterani akaona aingie mwenyewe aweke mambo sawa.

 Kipa wa Kilimanjaro Veterani akishindwa nini afanye nakuacha mpira uingie wavuni
 Capten Jamil Kilimanjaro Veterani
 Team zingine nazo ziliendelea na mechi zao



 Mshambuliaji wa Kilimmanjaro Veterani Amfrey aliitumikia vyema leo team yake na kupachika mabao kadhaa yalioifikisha nusu fainal
 Furaha baada ya ushindi

 Mac Dida wa Kilimanjaro Fc
 Hahahahaha Jembe Yusuf vipi tena umechoka sana baada ya kuitumikia team yako???
 Wachezaji wa Kilimanjaro Fc na Kilimanjaro Veterani wakibadilishana mawazo baada ya mechi kuisha
Ongera sana Kilimanjaro Fc na Kilimanjaro Veterani kwa kuzifikisha team zenu nusu fainal.Kwa matokeo hayo team mbili hizi kama zote zitashinda michezo yao ya kesho ya nusu fainal watakutana wao wenyewe katika fainal pia ndio itakua fainal ya kihistoria hapa stockholm toka mashindano haya kuanzishwa.