Saturday, July 2, 2011

DUA YA KUMUOMBEA BABU YAKE NA MESSI MZEE RICHARD



 Shabiki wa bwawa la maini nae aliudhulia kumfariji Messi
 Majembe yangu kama kawaida walikuwepo katika kumuombea babu yetu.


 Tukiwa na ndugu yetu Richards a.k.a Messi kwa msiba wajina wake babu mzaa mama yake mungu utoa na utwaa.

 Niliomba picha ya pamoja na wakubwa wangu hawa meneja Nyupi na Fredy Nice pia walinipa mawili matatu ya muongozo mzuri katika maisha yangu kama kijana wao nawashukuru.

 Kamati

 Wafiwa wakiwaongoza vyema wageni wao katika sadaka ya chakula.

Ally Nazima akipata maneno mawili matatu kwa muheshimiwa balozi wetu.