Sunday, July 10, 2011

FRANKE AMFANYIA SUPRISE MCHUMBA WAKE KWA KUMVISHA PETE

 Akipiga goti na kumvesha pete mchumba wake nae akabaki kushangaa na mchozi kumdondoka safi sana kaka Frank


 Nyuso za furaha

 Picha ya pamoja


 Tugonganishe glass tusherehekee



 Misosi kama kawaida

 Wachumba wawili wakichukua chakula kwa sura za furahaa









 Frank akiwa na mchumba wake na rafiki zake wa karibu