Monday, August 1, 2011

AFANDE MWITA UPO WAPI TAA ZIMEZIMWA HAPA

Leo mchana katikati ya jiji la stockholm taa za kuongoza magari zilizimwa kidogo kwa matengenezo ya dakika chache na hali ilikua kama hivi.