Friday, August 26, 2011

KISOMO CHA KUMUOMBEA DUA BABA MKUBWA WA YUNUS

                                                       Hapa nikiwa na kaka Yunus
                                Muda muafaka ulifika watu wakaanza kufturu
                                              Kaka Abraham akipa sadaka kabla ya dua.


                                                         Kiukweli mashallah meza ilitimia




                                               Kutenga alikuwepo pia na Frank
                                       Kim akiwajibika na wenzake katika ftari


                       Meza hii iliwakilishwa na kaimu balozi Tanzania inchini sweden


Kaka Said akimfahamisha jambo mjomba wa Yunus ambae nae ametoka uingereza kuja kuwajibika katika kisomo hichi
Yunus:pole sna kaka kwa mtihani uliokukuta inshallah mungu atakuongeza vyema katika kipindi hiki kigumu amen.
 


                      Ulifika wakati wa kumfanyia dua marehem kama tulivyokusudia.
                                 Kaka Charles aliudhulia kisomo pia.

                                Dua kwa pamoja kumuombea mzee wetu
Kwa niaba ya kaka Yunus na familia yake kwa ujumla inawashukuru wote mlioacha shughuli zenu kwa kuitikia wito wake.na hata wale ambao hawakujaaliwa kufika kwa kutingwa na majukumu kwa namna moja au nyingine mnashukuliwa pia.Wao hawana cha kuwalipa kwa moyo wenu ila ni mungu pekee atakaowalipa amen.