Tuesday, August 9, 2011

WAAFRIKA WAZIDI KUKINUKISHA ENGLAND BAADA YA MWENZAO KUPIGWA RISASI



Watu wenye utaifa wa afrka waendelea na msimamo wao wa kufanya fujo na kuchoma magari pamoja na nyumba.Na kwa sasa miji inayoendela kupatwa na matukio hayo imezidi kuongezeka na hii imetokana na kuuliwa kwa mtu mweusi na polisi wa uingeleza.