Saturday, August 27, 2011

JUMAMOSI YA JUA NA KAMERA YA DARSTOCKHOLM KITAANI

 Kiukweli nilitumia muda mwingi sana kumtazama Othman wakati anacheza mpira na watoto wenzie,ndio hapo nikagundua kama baba yake mzazi kaka Omar atamuendeleza kisoka basi tunaweza kuja kujivunia nchi yetu ya Tanzania kua na mwanasoka wa kulipwa hapo baadae.Nami nikaona niwasogezee picha yake wadau.
 Othman na dada yake Aisha  wakishow love na camera ya darstockholm ndani ya jiji la Stockholm.
                          Wacha nijiachie bana na mtoto wa bondia wa uzito wa juu Tamim


                                     Hapa nikiwa na Hawadh Tamim akiwa na familia yake
                                   Kaka Moze a.k.a baba waleed alisimama kwenye meza kuu
                                      Nyama ilichomwa hapa.
Wadada wakipata nyama choma na ugali kachumbali kwajuu,tena wakiwa na furaha wakimalizia kipindi cha majira ya majotrooo.