Thursday, August 4, 2011

LIFTI INAPOGOMA WATU UCHOMOLEWA KAMA HIVI


Lifti ikiwa imegoma na watu kuchomolewa kama unatolewa shimoni.Hii ilitokea katika jengo la nishati na madini,dah kiukweli ni wizara kubwa sana hii sasa sijui inakuaje kunakua na lifti ya mashaka kama hii.